KIUNGO MKONGO WA YAMGA SC, MUKOKO TONOMBE ATOA MISAADA KITUO CHA WATOTO YATIMA KINONDONI MKWAJUNI
KIUNGO wa Yanga SC, Mkongo Mukoko Tonombe jana alipata fursa ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika cha watoto yatima cha Maunga Centre kilichopo Kinondoni Mkwajuni Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment