MMOJA TU APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WANASOKA TANZANIA UTAKAOFANYIKA MWEZI UJAO NCHINI
MWENYEKITI wa Chama cha Wachezaji Tanzania (SPUTANZA) Mussa Mohamed Kisoki pekee amepitishwa kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi utakaofanyika Juni 18, mwaka huu.
Item Reviewed: MMOJA TU APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WANASOKA TANZANIA UTAKAOFANYIKA MWEZI UJAO NCHINI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment