RAIS WA FIFA, GIANNI INFANTINO AIPONGEZA SIMBA SC KWA KUTWAA UBINGWA WA NNE MFULULIZO TANZANIA BARA
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa klabu ya Simba baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu kwa mara ya nne mfululizo msimu huu.
Item Reviewed: RAIS WA FIFA, GIANNI INFANTINO AIPONGEZA SIMBA SC KWA KUTWAA UBINGWA WA NNE MFULULIZO TANZANIA BARA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment