Mwanzo > YANGA > KAMATI YAAMUA; FEISAL SALUM NI MCHEZAJI HALALI WA YANGA, LAKINI... HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TFF YANGA KAMATI YAAMUA; FEISAL SALUM NI MCHEZAJI HALALI WA YANGA, LAKINI... KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeamua kwamba kiungo Feisal Salum Abdallah bado ni mchezaji halali wa Yanga kwa mujibu wa mkataba. Saturday, January 07, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TFF YANGA
0 comments:
Post a Comment