Mwanzo > SINGIDA UNITED > KASEKE AFUNGIWA NA FAINI JUU KWA USHIRIKINA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SINGIDA UNITED KASEKE AFUNGIWA NA FAINI JUU KWA USHIRIKINA MCHEZAJI wa Singida Big Stars, Deus Kaseke amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa tuhuma za kufanya mambo ya kishirikina kwenye mchezo dhidi ya Azam FC Januari 23, mwaka huu Uwanja wa LITI mjini Singida. Friday, January 27, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SINGIDA UNITED
0 comments:
Post a Comment