Mwanzo > YANGA > HUYU MAMADOU DOUMBIA TAYARI KUANZA KAZI JANGWANI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA HUYU MAMADOU DOUMBIA TAYARI KUANZA KAZI JANGWANI BEKI mpya wa Yanga, Mamadou Doumbia aliyesajiliwa kutoka Stade Malien ya kwao, Mali akiwa na Rais wa klabu hiyo, Mhandisi Hersi Said baada ya kuwasili nchini tayari kuanza kazi kwa mwajiri wake huyo mpya. Saturday, January 21, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment