Mwanzo > SIMBA > KAJULA NDIYE MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA KAJULA NDIYE MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC KLABU ya Simba imetambulisha Imani Kajula kuwa Mtendaji wake Mkuu mpya, akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Barbara Gonzalez aliyejiuzulu Desemba kwa notisi ya mwezi mmoja na kuondoka madarakani Januari mwaka huu. Thursday, January 26, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment