MUSONDA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YASHINDA 1-0 KIGAMBONI
BAO pekee la mshambuliaji mpya kutoka Zambia, Kennedy Musonda limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Dar City katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Avic Town, Somangira, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment