MAXI NZENGELI MCHEZAJI BORA, GAMONDI KOCHA BORA LIGI KUU AGOSTI
KLABU ya Yanga imeuanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kutoa Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti, kiungo Mkongo Maxi Mpia Nzengeli na Kocha Bora, Muargentina Miguel Ángel Gamondi.
0 comments:
Post a Comment