KLABU ya Singida Fountain Gate imemtambulisha Mjerumani, Ernst Middendorp kuwa kocha wake mpya akichukua nafasi ya Mholanzi, Hans van ser Pluijm aliyejiuzulu wiki iliyopita.
Middendorp alianza kama mchezaji kwenye klabu ya SG Freren kati ya 1977 na 1981, kabla ya kwenda TuS Lingen katà ya 1981 na 1982, baadaye VfB Rheine katà ya 1982 na 1985 na VfB Alstätte katà ya 1985 na 1987 - kabla ya kuwa kocha na amefundisha timu mbalimbali Ulaya na Afrika.
0 comments:
Post a Comment