AHMED ARAJIGA NDIYE REFA WENU KESHO SIMBA NA YANGA
REFA Ahmed Arajiga (32) wa Manyara ndiye atakayechezesha mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho kuanzia Saa 11:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment