YANGA WAKUTANA NA CSKA MOSCOW KWA LENGO LA USHIRIKIANO
UONGOZI wa klabu ya Yanga SC umekutana na Uongozi wa CSKA Moscow ya Urusi kwa lengo la kutengeneza mahusiano ya kukuza vipaji kwa soka la vijana na kubadilishana taaluma mbalimbali za kimichezo na utawala. GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment