• HABARI MPYA

    Tuesday, June 12, 2012

    UKUTA WA STARS LAGOS 1980

    Mabeki wa kati wa kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, taifa Stars kilichocheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1980 mjini Lagos, Nigeria katika kundi A pamoja na wenyeji Nigeria, Ivory Coast na Misri, Leodegar Tenga aliyekuwa 'akimaliza' kulia akiwa na na namba nne wake, Jellah Mtagwa leo, wakati Jellah alipomtembelea mchezaji mwenzake huyo wa zamani wa Pan African na Yanga ofisi za TFF mchana huu.    

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UKUTA WA STARS LAGOS 1980 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top