• HABARI MPYA

    Tuesday, June 12, 2012

    CHEKI BALAA LA SAMATTA HAPA...ANAVYOMKUSANYA MTU

    Mbwana Samatta kushoto, akimtoka beki wa El Merreikh ya Sudan katika mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwezi uliopita. Mbwana hivi sasa ni gumzo kubwa na wachezaji wengi wakubwa Afrika, akiwemo Mwanasoka Bora Afrika, Yaya Toure wamesema ana sifa za kucheza klabu kubwa Ulaya. Drogba amesema dogo huyo anaweza hata kurithi jezi yake pale Stamford Bridge. Je, Samatta atatizimiza ndoto zake? Bila shaka hilo ni jambo la kusubiri na kuona- lakini jambo la msingi ni yeye kuongeza bidii badala ya kubweteka na sifa hizi. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHEKI BALAA LA SAMATTA HAPA...ANAVYOMKUSANYA MTU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top