• HABARI MPYA

    Thursday, November 15, 2012

    KAMATI YA SERENGETI YAKUSANYA MZIGO WA KUTOSHA KUISHINDISHA TIMU

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Serengeti Boys Ishinde, Kassim Mohamed Dewji akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Serengeti, ndani ya hoteli ya JB Bellmonte, katikati ya Jiji la Dar es Salaam asubuhi ya leo kuhusu maandalizi ya mechi ya Jumapili dhidi ya Kongo Brazzaville, kuwania tiketi ya kucheza Fainali za U-17 Afrika. Dewji amesema Kamati yake imefanikiwa kukusanya Sh. Milioni 35 kati ya Milioni 60 zinazotakiwa kwa maandalizi ya mchezo huo wa kwanza. Wengine kulia ni Henry Tandau, Katibu wa Kamati na kushoto, Angetile Osiah, Mjumbe wa Kamati.  

    Mjumbe wa Kamati, Abdallah Ahmad Bin Kleb 

    Kutokas kulia Bin Kleb, Tandau, Dewji, Osiah na Mjumbe mwingine wa Kamati, Salim Abdallah

    Salim Abdallah kushoto na Osiah kulia

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati, KD akizungumza kwa simu na Mwenyekiti wake, Ridhiwani Kikwete ambaye hakuhudhuria mkutano kwa sababu yupo msibani kwao Bagamoyo.  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KAMATI YA SERENGETI YAKUSANYA MZIGO WA KUTOSHA KUISHINDISHA TIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top