SHABIKI WA TANZANIA TAYARI KUISHANGILIA KILI STARS DHIDI YA BURUNDI
Shabiki wa
Tanzania, Ally Abubakar kutoka River Side, Ubungo akiwa tayari kuishangilia Kilimanjaro Stars, inayodhaminiwa na
Kilimanjaro Premium Lager katika mchezo wake dhidi ya Burundi wa Kundi B, Kombe
la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge 2012 utakaonza
muda mchache ujao Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala.