![]() |
| John Bocco 'Adebayor' akigombea mpira na beki wa Sudan |
![]() |
| Mashabiki Stars kwa raha zao |
![]() |
| Wachezaji Stars wakimpongeza Bocco baada ya kufunga bao la kwanza |
![]() |
| Benchi la Ufundi Stars, kutoka kushoto kocha Mkuu, Kim Poulsen, Msaidizi wake, Sylvester Marsh, Meneja, Leopold Tasso 'Mukebezi na kocha wa makipa Juma Pondamali |
![]() |
| Amir Maftah akimtoka beki wa Sudan |
![]() |
| Erasto Nyoni akitafuta mbonu za kumtoka beki wa Sudan |
![]() |
| Salum Abubakar akigombea mpira na kiungo wa Sudan |
![]() |
| Simon Msuva akigombea mpira na beki wa Sudan |
![]() |
| Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Sudan |
![]() |
| John Bocco aliingia nao mpira nyavuni kufunga bao la pili |














.png)