• HABARI MPYA

    Tuesday, May 05, 2015

    KAMARA ATUA DAR, JE ATAKWENDA TIMU GANI?

    Kiungo Lansana Kamara (kushoto) akiwa na Meneja wake, Gibby Kalule baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa KImataifa wa Julius Nyerere (JKNI), Dar es Salaam leo. Mchezaji huyo raia wa Sierra Leone aliyekuwa anacheza Sweden, amekuja Tanzania kutafuta timu ya kuchezea na yuko tayari kwa majaribio.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAMARA ATUA DAR, JE ATAKWENDA TIMU GANI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top