• HABARI MPYA

    Sunday, October 06, 2013

    YANGA SC ILIVYOJISOGEZA JIRANI NA SIMBA KILELENI LIGI KUU BARA, AZAM TV WARUSHA LIVE MECHI TAIFA LEO

    IMEWEKWA OKTOBA 6, 2013 SAA 2:38 USIKU

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa (wa pili kushoto) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kufunga bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam jioni ya leo, 

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Salim Abdallah

    Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumtoka Salim Abdallah

    Mrisho Ngassa alimpiga kanzu kipa wa Mtibwa, Hussein Sharrif 'Cassilas' lakini akapigiwa filimbi ya kuotea

    Beki wa Mtibwa, Hassan Ramadhani akimdhibiti Mrisho Ngassa wa Yanga

    Beki wa Yanga, David Luhende akiwatoka wachezaji wa Mtibwa, Ally Shomary na Salim Abdallah

    Salim Abdallah wa Mtibwa akijiandaa kuondosha mpira kwenye hatari mbele ta Kavumbangu 

    Beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Daud akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu  

    Kiungo wa Yanga SC, Nizar Khalfan akimtoka beki wa Mtibwa, Paul Ngalema

    Kiungo mkongwe wa Mtibwa, Shaaban Nditi akipasua katikati ya wachezaji wa Yanga SC, Mbuyu Twite kulia na Didier Kavumbangu kushoto

    Hata hivyo, Twite alimuangusha Nditi...

    Shaaban Nditi akiwatoka Said Bahanuzi na Kavumbangu wa Yanga

    Kikosi cha Yanga SC leo

    Kikosi cha Mtibwa leo

    Didier Kavumbangu akishangilia baada ya kufunga bao la pili 

    Mpiga picha wa Azam TV, akirekodi kwa ajili ya matangazo ya Live ambayo kwa sasa yanarushwa kupitia TBC 

    Kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwaongoza wenzake kuingia uwanjani tayari kwa mechi 

    Pamoja na kuwa na maumivu ya jicho, kipa Deo Munishi 'Dida' alianzia benchi leo 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOJISOGEZA JIRANI NA SIMBA KILELENI LIGI KUU BARA, AZAM TV WARUSHA LIVE MECHI TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top