BONANZA LA NANI MTANI JEMBE KATIKA VIWANJA VYA POLISI MABATINI MWANZA
Afisa masoko wa TBL Mwanza Bw Juma Akida akitoa jezi kwa mashabiki wa vilabu vya Yanga na Simba katika bonanza la NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro. Bonanza hilo limefanyika ktk viwanja vya Police Line Mabatini jijini Mwanza leo.
0 comments:
Post a Comment