![]() |
| Torrington akiwahutubia Waandishi wa Habari |
![]() |
| Bei moja chaneli kibao babu kubwa, burudani, maisha, habari na michezo mbalimbali |
![]() |
| Torrington akizungumza na Mtendaji Mkuu wa BIN ZUBEIRY Blog, Mahmoud Zubeiry kushoto |
![]() |
| Azam TV imenunua haki za kuonyesha Ligi Kuu ya Bara |
![]() |
| Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Azam TV, Eric Caste akifafanua jambo kwa Waandishi |
![]() |
| Waandishi wa Habari wakielekezwa mambo na Meneja Huduma kwa Wateja, Loth Mziray katika ofisi ya Huduma kwa Wateja ya Azam TV |
![]() |
| Mziray aliwapa maelezo ya kutosha Waandishi |
![]() |
| Mziray akijibu swali la Mhariri wa Michezo wa gazeti la Habari Leo, Mgaya Kingoba kulia |
![]() |
| Waandishi pia waliingias kwenye gari la kurushia matangazo ya mpira moja kwa moja kujionea |
![]() |
| Ndani ya gari hilo, wakielekezwa mambo na Mtaalamu Meb |
![]() |
| Mmoja wa Wakurugenzi wa Azam Media, Yussuf Bakhresa akizungumza na Waandishi wa Habari |
![]() |
| Yussuf akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari |
















.png)
0 comments:
Post a Comment