MABINTI WA KIMAKONDE WAKIPIGA MSOSI SAPPHIRE KABLA YA KUONYESHANA KAZI NA DADA ZETU TAIFA BAADAYE
Wachezaji wa timu ya taifa ya Msumbiji chini ya umri wa miaka 20, wakichukua chakula katika mgahawa wa hoteli ya Sapphire Court, Kariakoo, Dar es Salaam mchana wa leo. Timu hiyo itamenyana na U20 ya wanawake wa Tanzania jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya Kombe la Dunia kwa vijana wa umri huo.
Item Reviewed: MABINTI WA KIMAKONDE WAKIPIGA MSOSI SAPPHIRE KABLA YA KUONYESHANA KAZI NA DADA ZETU TAIFA BAADAYE
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment