![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Edward Christopher Edward akipambana na beki wa Coastal Union |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Zahor Pazi akimiliki mpira mbele ya beki wa Coastal Union, Juma Nyosso |
![]() |
| Kipa wa SImba SC, Abuu Hashimu akiwa amedaka mpira mbele ya Haruna Moshi 'Boban' wa Simba SC |
![]() |
| Haruna Shamte wa Simba SC akipambana na kiungo wa Coastal, Crispin Odula |
![]() |
| Kiungo wa SImba SC, William Lucian 'Gallas' akipambana na beki wa Coastal Union, Juma Nyosso |
![]() |
| Amri Kiemba wa Simba SC akimtoka Juma Nyosso wa Coastal |
![]() |
| Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira kushoto akitoka uwanjani baada ya kuumia kipindi cha kwanza |
![]() |
| Zahor Pazi akijaribu kuiwahi krosi bila mafanikio, huku kipa wa Coastal, Shaaban Kado akiwa tayari kuokoa |
![]() |
| Jerry Santo wa Coastal akipambana na viungo wa Simba SC, William Lucian 'Gallas' na Saidi Ndemla |
![]() |
| Said Ndemla akimdhibiti Yayo Lutimba wa Coastal |
![]() |
| Juma Nyosso akimvuta jezi Amisi Tambwe |
![]() |
| Haruna Moshi wa Coastal akimtoka Kaze Gilbert wa Simba SC |
![]() |
| Haruna Moshi akiwa ameanguka chini baada ya kukutana na Kaze Gilbert |
![]() |
| Haruna Moshi kushoto na Kaze Gilbert kushoto |
![]() |
| Haruna Moshi na Kaze Gilbert |
![]() |
| 11 wa Simba SC walioanza leo |
![]() |
| 11 wa Coastal walioanza leo |
![]() |
| Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage akishuhudia mchezo huo leo Mkwakwani |
![]() |
| Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kulia na Kaimu Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Joseph Itang'are 'Kinesi' |
![]() |
| Kocha wa Simba SC, Abdallah Kibadeni kulia akiwa na Msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo na Meneja Nico Nyagawa |
![]() |
| Makocha wa Muda wa Coastal, Razack Yussuf 'Careca' na Joseph Lazaro |
























.png)
0 comments:
Post a Comment