Mbabe wa zamani wa ngumi za uzito wa juu duniani, alieweka rekodi ya bondia mdogo zaidi kutwaa ubingwa wa dunia wa uzito wa juu, Iron Mike Tyson pichani kama anavyoonekana akiwa bwana mdogo kabisa. Kituo cha TV cha CNN kilifanya naye mahojiano wiki iliyopita na leo usiku kitarusha hewani sehemu ya pili ya mahojiano hayo. Ni kuhusu historia yake kwa ujumla na maisha yake ya sasa, Unaweza kufuatilia CNN ukipenda. |
0 comments:
Post a Comment