• HABARI MPYA

    Sunday, May 13, 2012

    EVRA AAMINI MIUJIZA INAWEZEKANA


    Patrice Evra
    Patrice Evra-ana imani
    BEKI na nahodha wa klabu ya Manchester United Patrice Evra bado ana imani klabu yake inaweza kuondoka na ushindi wa Ligi kuu.
    United, ikiwa katika nafasi ya pili kwa tofauti ya magoli tu, inahitaji kuiona City ikijikwaa dhidi ya QPR au uwezekano wa kuimiminia Sunderland mabao yasiyopungua tisa ili kuiondoa City kileleni kwa hio tofauti ya magoli manane.
    Evra anasema, huenda watu watadhani nimechanganyikiwa, lakini ni imani niliyo nayo.
    "naelewa kua hatma ya matokeo haimo mikononi mwetu. Lakini ikiwa tunataka kubaki na imani ya miujiza lazima tuishinde Sunderland."
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EVRA AAMINI MIUJIZA INAWEZEKANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top