Tazama picha hii, wadau mbalimbali wa soka wakiwa Uwanja wa Taifa juzi wakati wa mchezo kati ya Simba na Kagera Sugar. Lakini ukiwatazama kwa makini mtu ambaye anaonekana kufuatilia mchezo ni mmoja tu, Crescentius Magori wa kwanza kushoto. Wengine wote kila mtu ana shughuli zake. Ndiyo mambo ya mpira hayo, wengine wanakwenda uwanjani kama fasheni tu, kupiga stori na nini, lakini si kuangalia mpira. Ila inasikitisha baadaye, wanapokuwa wazungumziaji wazuri wa mchezo, ambao hawakuufuatilia. |