![]() |
| Haruna Niyonzxma akiambaa na mpira |
![]() |
| David Luhende akivuta tela lake |
![]() |
| Haruna Niyonzima baada ya kutia krosi |
![]() |
| Mbuyu Twite akimdhibiti Nicholas Kabipe wa Polisi, huku Nahodha Nsajigwa Shadrack akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
| Jerry Tegete akiwania mpira na beki wa Polisi |
![]() |
| Penalti...Msuva akiwa ameangushewa kwenye eneo la hatari na beki wa Polisi kulia |
![]() |
| Barthez amedaka |
![]() |
| Kocha Ernie Brandts akimpongeza Kavumbangu baada ya mechi, kulia Kocha Msaidizi Freddy Felix Minziro |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Polisi |
![]() |
| Msuva akienda chini baada ya kupigwa kwanja na beki wa Polisi (hayupo pichani) |
![]() |
| Msuva akishangilia bao lake |
![]() |
| Hatari kwenye lango lango la Yanga |
![]() |
| Kavumbangu anamuwajibisha beki wa Polisi |
![]() |
| Kavumbangu anafanya vitu |
![]() |
| Kiiza katika mishe mishe |
![]() |
| Kiiza anakwenda |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Yanga |
![]() |
| Nahodha Nsajigwa anatia krosi |
![]() |
| Kazi kazi |
![]() |
| Kavumbangu anazuia mpira uliopigwa na mchezaji wa Polisi |
![]() |
| Msuva alipofunga bao lake |
![]() |
| Kavumbangu akichomoka kushangilia baada ya kufunga |
![]() |
| Tegete akishangilia na Kavumbangu |
![]() |
| Kavumbangu akisababisha |


























.png)