![]() |
| Dogo Rama kushoto akiimba katika onyesho la bendi yake, African Stars 'Twanga Pepeta' jioni ya leo kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam |
![]() |
| Kalala Jr. kulia akiimba kwa hisia |
![]() |
| Saleh Kupaza kulia na Luiza Mbutu kushoto |
![]() |
| Dogo Rama kushoto |
![]() |
| Mwinjuma Muumin kushoto na Badi Bakule kulia |
![]() |
| Mtu mzima Kizaizai kushoto akiwa Msaifri Diouf katika gari lake la hatari |
![]() |
| Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakifanya mambo ya hatari |
![]() |
| Wanenguaji wa Twanga Pepeta |
![]() |
| Wadau wakifuatilia burudani |
![]() |
| Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Janeth Isinike akiwa amepozi kabla ya kupanda jukwaani |












.png)