![]() |
| Kocha wa Azam, Boris Bunjak na Msaidizi wake, Kali Ongala wakishuhudia kipigo |
![]() |
| Azam wakipiga ndiki kabla ya mechi |
![]() |
| Nahodha wa Simba, Juma Kaseja akisali kabla ya mechi |
![]() |
| Kaseja akishukuru baada ya sala |
![]() |
| Salum Abubakr akipiga mpira |
![]() |
| John Bocco akielea kushangilia baada ya kufunga |
![]() |
| Bocco akichechemea baada ya kuumia |
![]() |
| Salum Abubakar katikati ya wachezaji wa Simba, Jonas Mkude kulia na Okwi kushoto |
![]() |
| Benchi la Azam |
![]() |
| Shomary Kapombe akimdhibiti Samir Hajji Nuhu |
![]() |
| Kaseja akiwapanga mabeki wake wakati wa kona |
![]() |
| Kipre Tcheche akimtoka Paschal Ochieng |
![]() |
| Samir Hajji Nuhu akitafuta mbinu za kumtoka Kapombe |
![]() |
| Kapombe baada ya kumpokonya mpira Nuhu anaondoka nao |
![]() |
| Okwi akitafuta mbinu za kumtoka Ibrahim Shikanda wa Azam |
![]() |
| Juma Kaseja akisujudu baada ya Simba kusawazisha bao |
![]() |
| Simba wakipongezana baada ya bao la pili |
![]() |
| Mkude akimiliki mpira |
![]() |
| Ochieng akizungumza na Kaseja |
![]() |
| Ngassa anasafiri |
![]() |
| Himi Mao Mkami akimtoka Mwinyi Kazimoto |
![]() |
| Ochieng amelala kuondosha mpira miguuni mwa Kipre Tcheche, huku Amri Kiemba akiwa tayari kumsaidia |
![]() |
| Mkude anaondoka na mpira mbele ya Abubakr wa Azam, huku Amir Maftah akiwa tayari kumpa msaada |
![]() |
| Bocco anamtoka Ochieng |
![]() |
| Simba wakishuangilia bao la Sunzu |
![]() |
| Rafu iliyomtoa nje Bocco, aligongana na Kiemba |
![]() |
| 11 wa Simba walioipiga Azam leo |
![]() |
| Humud akiwa hewani na Sunzu |
![]() |
| Ngassa anawatoka wachezaji wa Azam |
![]() |
| Ngassa anamuwajibisha Said Mourad |
![]() |
| Okwi akijiandaa kufunga bao la tatu |
![]() |
| Mwadini pamoja na kufunhgwa matatu, lakini aliokoa ya kutosha |
![]() |
| Ulinzi ulikuwa mkali, lakini Okwi alipiga mbili |
![]() |
| Kiungo wa zamani wa Azam na Simba, Shekhan Rashid akishuhudia mechi hiyo. Kushoto ni mmoja wa viongozi wa Azam, Heri Mzozo |





































.png)