![]() |
| Kulia Prince Muumin Mwinjuma akiimba na Luiza Mbutu kushoto |
![]() |
| Dogo Rama kulia akifanya vitu vyake na mwanamuziki mwenzake |
![]() |
| Mashabiki wakicheza sebene la Twanga |
![]() |
| Sijui walikuwa wanafanya nini wanenguaji hawa wa Twanga kwenye eneo la kuegeshea magari |
![]() |
| Msemaji wa Twanga Pepeta, Muddy Pizzaro akimiminiwa shampeni na Queen Suzy wa FM Academia ambaye alikuwa mmoja wa waalikwa |
![]() |
| Mastaa wa Bongo Movie JB, Ray na Hartman walikuwepo |
![]() |
| Wanamuziki wa Twanga Pepeta wakiwa na rafiki yao |
![]() |
| Nyoshi El Saadat akiimba kwenye jukwaa la Twanga jana kama mmoja wa waalikwa |
![]() |
| Swaga za Sharapova, mnenguaji wa Twanga Pepeta |
![]() |
| Queen Suzzy katikati anafungua shampeni, kuliwa Baraka Msilwa na kushoto Muddy Pizzaro |
![]() |
| Jembe likifuatilia kwa makini shoo |
![]() |
| Kulia Kalala Junior, anayemfuatia Steve Nyerere na wa mwisho ni Deo Mutta 'Mwana Twanga' |
![]() |
| Wanenguaji wa kiume wa Twanga Pepeta |
![]() |
| Baraka Msilwa baada ya kunikabidhi tuzo ya kuheshimu mchango wangu katika mafanikio ya bendi yao |
![]() |
| Nikisoma cheti kwa chati pembeni ya Baraka Msilwa, kaka wa siku nyingi Dar es Salaam |
![]() |
| Wanenguaji wa Twanga Pepeta |
![]() |
| Mnenguaji wa Twanga Pepeta akifanya mambo |
![]() |
| Menguaji wa Twanga Pepeta akionyesha umahiri wake |
![]() |
| Mnenguaji wa Twanga 'akiua' |
![]() |
| Wanenguaji wa Twanga Pepeta, wakicheza rap moja ya zamani ya bendi hiyo, I Love You Baby |
![]() |
| Wakicheza I Love You Baby... |
![]() |
| Wanenguaji wa Twanga Pepeta |
![]() |
| Waimbaji kutoka kushoto Muumini, Janet Isinike... |
![]() |
| Waimbaji |






























.png)