![]() |
| Hapa wanakula Ice Cream za Azam baada ya mazoezi |
![]() |
| Kutoka kulia Lameck Dayton, Saidi Swedi na Suleiman Kassim 'Selembe' |
![]() |
| Atuepeke Green kulia |
![]() |
| Jakcosn Chove |
![]() |
| Nahodha Saidi Swedi 'Panucci' |
![]() |
| Selembe |
![]() |
| Benchi la Ufundi, kutoka kulia ni Kocha Msaidizi, Ally Kiddy, Kocha Mkuu, AHmed Morocco, Mkurugenzi wa Ufundi, Nassor Bin Slum na Kocha wa Makipa, Juma Pondamali |
![]() |
| Atupele Green anamtoka mtu mazoezini |
![]() |
| Atuepele Green kushoto |
![]() |
| Pamoja na kuwa Mkurugenzi wa Ufundi, lakini Nassor hufanya majukumu ya Kit Manager pia |
![]() |
| Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Iddi Moshi akiwa na kiungo wa Coastal, Mohamed Bin Slum |
![]() |
| Morocco akijadiliana na Pondamali |
![]() |
| Daniel Lyanga, mtambo wa mabao wa Coastal Union |

















.png)