Akiwa katika ziara yake ya Ulaya, Jennifer Lopez mwenye umri wa miaka 43 sasa, jana alihudhuria pati ya birthday ya dada yake Lynda mjini Paris, Ufaransa. Cheki kivazi chake wakati wa kupati...
Angalia miguu: Jennifer Lopez akifurahia na marafiki Paris
Usiku wa kupati: Mama wa miaka 43 cheki alivyokuwa anajiachia
Ooh la la: Jennifer kwa raha zake
Dogo anakula zigo: Akiwa na boyfriend wake na dansa wake, Casper Smart katika pati hilo
Dogo akilewaa!: boyfriend wa J.lo akiwa amesimama kwenye sofa na viatu vyake vinavyoingia chooni, wakati wenzake wanakaa...yupo jirani na mpaja wa mama mtu mzima ovyo...
Full bata? Lopez akila raha za dunia
Alipoanza kukolea sasa! Cheki mtu mzima ovyoo anavyopati...
Anamkoromea dogo: Lopez akizungumza na boyfriend Casper Smart
Kwa raha zao: Bibi na bwana...
Bata kwa kwenda mbele: Jennifer akikata maji kama anashindana
Mapema mchana kuelekea usiku wa pati, Jennifer alionekana kibwana chqake wakifanya shopping na kabinti kake, Emme
Casper amebeba mtoto, J.lo anakula raha za dunia
Ameongozana na kabinti kaker
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk


.png)