• HABARI MPYA

    Saturday, October 13, 2012

    SIMBA NA COASTAL KATIKA PICHA LEO MKWAKWANI

    Wa pili kutoka kulia mdhamini mkuu wa Coastal Union, Nassor Bin Slum akiwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani leo wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Simba, ambayo iliisha kwa sare ya bila kufungana. 

    Mwenyekiti wa Friends O Simba, Zacharia Hans Poppe aliyeinua mkono 

    Kutoka kulia Hans Poppe, Evans Aveva na Pamba

    Hans Poppe

    Ben Mwalala kulia

    Kocha Mkuu wa Costal, Ahmad Morocco kulia akijadiliana na Kocha wa makipa wa timu hiyo, Juma Pondamali

    Makchaa wa Vituko Show

    Mashabiki wa Simba

    Waandishi wa Habari

    Waandishi wa habari. Katikati ni Mhariri Mtendaji wa Mwanaspoti, Frank Sanga

    Nahodha wa Simba Juma Kaseja akiwaongoza wachezaji wake kuingia uwanjani

    Haruna Moshi 'Boban' akifurahi na Juma Jabu wakati timu zinaingia

    11 wa Simba walioanza leo

    11 wa Coastal walioanza leo

    Felix Sunzu anasafiri

    Sunzu anashughulika

    Kiungo chipukizi wa Simba, Haroun Chanongo akipasua msitu wa mabeki wa Coastal

    Nassor Masoud 'Chollo' katika msitu wa wachezaji wa Coastal akipasua

    Chollo huyo

    Chollo huyoo

    Jerry Santo wa Coastal akijaribu kumdhibiti Chollo

    Mwisho wa safari ya Chollo

    Sunzu akidhibitiwa

    Chollo katika mishe

    Haroun Chanongo anateleza

    Haroun huyo

    Haroun anamtoka Saidi Swedi Nahodha wa Coastal

    Haroun anamuacha Swedi

    Haroun anatia krosi

    Hatari kwenye lango la Simba

    Juma Kaseja anadaka

    Hatari kwenye lango la Simba

    Paschal Ochieng anaokoa

    Jerry Santo katika msitu wa wachezaji wa Simba

    Suleima Kassim 'Selembe' wa Coastal akipagombea mpira na Haruna Moshi 'Boban' wa Simba

    Kipa wa Coastal, Jackson Chove akidaka mpira mbele ya Daniel Akuffo wa Simba. Kulia ni Nahodha Saidi Swedi akiwa tayari kutoa msaada  

    Chove akiwadaka huku akiugulia maumivu ya kuumizwa na Akuffo

    Chove amedaka, Sunzu chini

    Sunzu anamiliki mpira mbele ya Razack Khalfan

    Razack Khalfan anasafiri, Sunzu ameangukia goti 

    Wachezaji wa Simba na Coastal wakigombea mpira

    Cheki kazi hiyo

    Mapumziko, kila kila ikisema na Mungu wake...kulia Coastal, kushoto Simba SC

    Kiungo wa zamani wa Coastal, Titus Bandawe kulia akizungumza na Saad kawemba wa TFF 

    Razack Khalfan anatolewa nje, hakurudi..

    Shughuli

    Atupele Green wa Coastal akichanja mbuga

    Atuepele anajaribu

    Amri Kiemba anamtoka Saidi Swedi kulia

    Sunzu leo alishughulika sana

    Kaseja anasema na mabeki wake

    Santo anatoa pasi

    Kiemba anapasua

    Hatari kwenye lango la Simba

    Amir Maftah anasafiri

    Saidi Swedi cbini, baad aya kukumbana na Maftah


    Sunzu akidhibitiwa

    Sunzu aliupitia mira mikononi mwa Chove

    Chove anampiga mkwara Sunzu baada ya kuupitia mpira mikononi mwake 


    Shughuli

    Uhuru Suleiman kulia

    Uhuru kulia

    Kazi kazi

    Hatari kwenye lango la Simba

    Kaseja anawapanga mabeki wake

    Haruna Moshi 'Boban' anamiliki mpira

    Selembe chini

    M ilovan hana hamu na Coastal

    Wenye Simba yao 'wakisikia baridi'

    Hapa Kaseja aliokoa bao moja la wazi sana

    Boban na Swedi wakipongezana baada ya mechi

    Milovan baada ya filimbi ya mwisho

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA NA COASTAL KATIKA PICHA LEO MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top