![]() |
| Khamis Mcha 'Vialli' akishangilia baada ya kuifungia Zanzibar bao la kwanza |
![]() |
| Adeyom Saleh Ahmed akimtoka beki wa Kenya, Joackins Atudo |
![]() |
| Nadir Cannavaro ameruka na kipa wa Kenya |
![]() |
| Mcha anapasua ukuta wa Kenya |
![]() |
| Mcha Vialli kamlamba mtu chenga, kamuacha chini anaambaa |
![]() |
| Suleiman Kassim 'Selembe' akipasua katikati ya msitu wa wachezaji wa Kenya |
![]() |
| Kocha wa makipa wa Zanzibar, Farouk Ramadhan akimpa maelekezo kabla ya mechi kipa Mwadini Ally |
![]() |
| Kikosi cha Zanzibar leo |
![]() |
| Kikosi cha Kenya leo |
![]() |
| Wachezaji wa Zanzibar wakiwa wametahayari baada ya kufungwa bao la pili la kusawazisha |
![]() |
| Mike Barasa wa pili kutoka kulia akishangilia bao lake la pili |
![]() |
| Zanzibar wakisujudu baada ya kufunga bao la kwanza |
![]() |
| Kipa kaenda kulia, penalti ya Aggrey imetinga kushoto |
![]() |
| Aggrey akiwaongoza wenzake baada ya kufunga bao la pili |
![]() |
| Jaku Juma akipambana |
![]() |
| Adeyom akimtoka beki wa Kenya |
![]() |
| Adeyom anajaribu |
![]() |
| Jaku Juma akipambana |
![]() |
| Aggrey ameruka na mtu |
























.png)