• HABARI MPYA

    Monday, February 11, 2013

    MANCINI AFUNGUKA, ASEMA WAWILI TU NDIO WALICHEZA JUZI CITY IKILALA 3-1


    KOCHA Roberto Mancini amewataka wachezaji wake Manchester City kujitahidi zaidi, baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Southampton.
    Ingawa hakuwataja majina, lakini, Mancini alisema ni wachezaji wawili tu waliojituma kwa kuonyesha juhudi za kutosha Jumamosi wakati City wakifungwa na timu ambayo ilikuwa Daraja la Pili misimu miwili iliyopita.
    Mancini alisema wachezaji wake 15 walikuwa nje kwa majukumu ya kimataifa wiki iliyopita na kwamba klabu hiyo imefanya makosa katika dirisha dogo kutoimarisha kikosi kwa kusajili, huku akinyoosha kidole kila mahali, ispokuwa kwake.
    ‘Wakati unacheza mpira ni wewe ni mchezaji mkubwa, lazima utekeleze majukumu yako, wakati wote,’ alisema Mancini. ‘Si wakati wote ni makosa ya kocha. Wachezaji lazima wawajibike — Lazima wawe..... kama sivyo, hawawezi kuchezea timu kubwa.’
    B***s up: Gareth Barry slots the ball into his own net to make it 3-1
    Gareth Barry akimfunga kipa wake katika kipigo cha 3-1 juzi
    Fury: Mancini lashed out at the club's failure to strengthen in the summer
    Fury: Mancini lashed out at the club's failure to strengthen in the summer
    Mancini hana hamu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MANCINI AFUNGUKA, ASEMA WAWILI TU NDIO WALICHEZA JUZI CITY IKILALA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top