• HABARI MPYA

    Sunday, February 10, 2013

    MBUNGE LEMA WA CHADEMA ALIVYOJICHANGANYA NA 'WAVUJA JASHO' SIMBA NA JKT OLJORO JANA ARUSHA'

    Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akipanda kwenye jukwaa la 'walala hoi' Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha jana kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kati ya Simba na JKT Oljoro, tofauti na ilivyozoeleka Wabunge hukaa VIP. Timu hizo zilitoka 1-1 jana.

    Mashabiki wanamkaribisha

    Anaomba nafasi akae

    Anajiandaa kuketi baada ya kupewa nafasi
    Kaketi anaangalia mechi na 'wavuja jasho'

    Mechi inaendelea, Simba wanashambulia, kipa anadaka

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MBUNGE LEMA WA CHADEMA ALIVYOJICHANGANYA NA 'WAVUJA JASHO' SIMBA NA JKT OLJORO JANA ARUSHA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top