• HABARI MPYA

    Monday, February 11, 2013

    NIGERIA NI FULL RAHA, KESHI KWELI THE BIGI BOSS


    Cup of joy: A jubilant Nigeria squad hoist the Africa Cup of Nations trophy aloft for the third time
    Wachezaji wa Nigeria wakishangilia Kombe lao la Mataifa ya Afrika baada ya kuifunga Mali 1-0 kwenye Fainali nchini Afrika Kusini jana.Fancy seeing you again: Nigeria coach Stephen Keshi grabs the Africa Cup of Nations trophy after winning the competition as a player in 1994
    Kocha wa Nigeria, Stephen Keshi akiwa ameshika Kombe ambalo awali alitwaa akiwa mchezaji mwaka 1994Warm welcome: FIFA president Sepp Blatter was made to feel at home in Johannesburg
    Rais wa FIFA, Sepp Blatter wa pili kutoka kulia alikuwepo Johannesburg jana, chini mashabiki wakiwa na bango na kuonyesha upendo wa Waafrika kwake
    Warm welcome: FIFA president Sepp Blatter was made to feel at home in South Africa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NIGERIA NI FULL RAHA, KESHI KWELI THE BIGI BOSS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top