• HABARI MPYA

    Saturday, May 11, 2013

    CRISTIANO RONALDO AFANYA BALAA MADRID...AMWAGA MABUSU HAYO KWA MPENZI, WE ACHA TU!

    IMEWEKWA MEI 11, 2013 SAA 4:10 ASUBUHI
    WAKATI akiwa gumzo kwake katika usajili, Cristiano Ronaldo ameachana na habari za kurejea Manchester United kutoka Real Madrid na kwenda kutazama wakali wa Tenisi wakionyeshana ufundi jana.
    Nyota huyo Mreno alikuwa na asali wake wa moyo, Irina Shayak kutazama michuano ya Madrid Open akimshuhudia Rafael Nadal akimfunga David Ferrerseti 3-0 (4-6, 7-6 na 6-0.
    Huko aliungana na Sergio Ramos na nyota wa Atletico Madrid, Radamel Falcao.
    The gang's all here: Radamel Falcao (left), Cristiano Ronaldo (centre) and Sergio Ramos (right) at the tennis
    Wakali wote hapa: Radamel Falcao (kushoto), Cristiano Ronaldo (katikati) na Sergio Ramos (kulia) katika tenisi
    Kiss-tiano: Ronaldo was with his girlfriend Irina Shayak at the Rafael Nadal v David Ferrer clash
    Kiss-tiano: Ronaldo alikuwa na mpenzi wake Irina Shayak katika mechi ya Rafael Nadal na David Ferrer
    Fun in the sun: Falcao (right) sits besides his pregnant wife Lorelei Taron
    Kitu hicho: Falcao (kulia) akiwa ameketi na mkewe mja mzito, Lorelei Taron

    Ronaldo alifunga bao lake la 200 Real Madrid katika mechi dhidi ya Malaga wiki iliyopita, lakini hana furaha na mambo jinsi yanavyokwenda chini ya Jose Mourinho.
    Ofisa Mtendaji Mkuu wa United, David Gill amefika Madrid kukutana na Jorge Mendes, wakala maarufu Mreno ambaye anamuwakilisha nyota huyo.
    Vyanzo vilisema Jumatano kwamba, mabingwa hao wa Ligi Kuu England wanajiamini watamrejesha mchezaji huyo ambaye walimuuza Real Madrid kwa dau la rekodi ya dunia, Pauni Milioni 80 mwaka 2009.
    Triumphant: Nadal was in fine fettle as he marched through to the semi-finals in Madrid
    Mkali: Nadal alikuwa moto jana katika Nusu Fainali za Madrid Open
    Unlucky: Ferrer pushed hard but Nadal was just too good in the end
    Kibonde: Ferrer aligalagazwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: CRISTIANO RONALDO AFANYA BALAA MADRID...AMWAGA MABUSU HAYO KWA MPENZI, WE ACHA TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top