• HABARI MPYA

    Monday, May 13, 2013

    DAVID BECKHAM AWEKA REKODI YA KUWA MCHEZAJI WA KWANZA ENGLAND KUTWAA MATAJI NCHI NNE TOFAUTI

    IMEWEKWA MEI 13, 2013 SAA 12:00 ASUBUHI
    KIUNGO wa David Beckham ameweka rekodi ya kutwaa mataji ya Ligi Kuu na klabu za nchi nne tofauti, baada ya PSG kuifunga Lyon 1-0 na kutwaa ubingwa wa Ligue 1, Ufaransa.
    Beckham, ambaye sasa anakuwa mchezaji wa kwanza wa England kutwaa mataji katika nchi nne tofauti, aliingia akitokea benchi, wakati Jeremy Menez alipokifungia bao pekee la ushindi kikosi cha Carlo Ancelotti.
    Ubingwa wa PSG hautathibitishwa hadi Kamati ya Nidhamu ya Ligi itakapokutana kuamua kuipokonya pointi au la kufuatia tuhuma za Mkurugenzi wake, Leonardo kumrubuni refa.
    Ecstasy: : David Beckham and Zlatan Ibrahimovic show their delight at landing PSG's first title in 19 years
    Raha: David Beckham na Zlatan Ibrahimovic wakishangilia kuiwezesha PSG kutwaa taji la kwanza baada ya miaka 19
    Passion: There was no mistaking Ibrahimovic's emotions at the final whistle
    Ibra
    Celebrations: Beckham embraces Carlo Ancelotti, the PSG manager, after the whistle
    Beckham akipongezana na Carlo Ancelotti, kocha wa PSG 
    AFP/Getty Images
    Beckham akikumbatiana na mmiliki wa Qatari TV, chaneli ya Al Jazeera Sport ambaye pia ni mmiliki wa PSG, Nasser Al-Khelaif
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: DAVID BECKHAM AWEKA REKODI YA KUWA MCHEZAJI WA KWANZA ENGLAND KUTWAA MATAJI NCHI NNE TOFAUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top