• HABARI MPYA

    Monday, July 08, 2013

    BILIONEA BAKHRESA ATUA ZANZIBAR TAYARI KWA UZINDUZI WA BOTI LA KISASA, KILIMANJARO IV NA GATI MPYA YA MALINDI

    Sasa safi;Mmiliki wa makampuni ya S.S.B., Alhaj Said Salim Awadh Bakhresa akiwa katika Lounge ya VIP ya Gati mpya ya Zanzibar, baada ya kuwasili visiwani humo kwa ajili ya udinzudi wa Gati hiyo sambamba na boti yake mpya ya Kilimanjaro IV. 
    Hapa anazungumza na Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe wakiwa kwenye boti wakati wanakwenda Zanzibar

    Spika wa Bunge la Zanzibar Pandu Kificho alikuwepo kwenye boti

    Abiria kwa raha zao










    Aziz Salum wa S.S.B.

    Kama Business Class la Emirates Air

    Mgahawa...

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BILIONEA BAKHRESA ATUA ZANZIBAR TAYARI KWA UZINDUZI WA BOTI LA KISASA, KILIMANJARO IV NA GATI MPYA YA MALINDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top