• HABARI MPYA

    Wednesday, July 17, 2013

    JOSE MOURINHO AANZA VYEMA CHELSEA, AWAFUMUA WABABE WA MAN UNITED 1-0

    Match winner: Romelu Lukaku settled the game in Chelsea's favour from the penalty spot (below) as they beat the Singha all-Stars 1-0 in Bangkok
    IMEWEKWA JULAI 17, 2013 SAA 4:30 USIKU
    Mshindi wa mechi: Mfungaji wa bao pekee la Chelsea, Romelu Lukaku kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Singha all-Stars mjini Bangkok, kujiandaa na msimu mpya akishangilia na chini akipiga penalti hiyo. Huo ulikuwa mchezaji wa kwanza kwa Jose Mourinho tangu arejee Stamford Bridge akianza na ushindi dhidi ya timu iliyoifunga Manchester United 1-0.
    Match winner: Romelu Lukaku settled the game in Chelsea's favour from the penalty spot (below) as they beat the Singha all-Stars 1-0 in Bangkok
    Second coming: Jose Mourinho was back in the Chelsea dug-out for the first time in 46 months
    Ujio wa pili: Jose Mourinho amerejea Chelsea kwa ushindi
    Back in the game: Mourinho said after the match that Wayne Rooney is a definite Chelsea transfer target
    Back in the game: Mourinho said after the match that Wayne Rooney is a definite Chelsea transfer target
    Chelsea ilichezesha vikosi viwili tofauti kila kipindi katika mchezo huo, kipindi cha kwanza: Cech, Wallace, Kalas, Terry (c), Cole, Lampard, Essien, De Bruyne, Piazon, Schurrle na Lukaku
    Kipindi cha pili: Blackman, Ivanovic, Cahill, Chalobah, Bertrand, Van Ginkel, Ramires, Moses, De Bruyne (Traore 78), Hazard na Ba
    Eyes on the ball: Chelsea's new signing Andre Schurrle vies for the ball ahead of the Singha All-Stars' Lazarus Kaimbi
    Mchezaji mpya wa Chelsea, Andre Schurrle akigombea mpira na mchezaji wa Singha All-Stars, Lazarus Kaimbi
    Beat your man: Ashley Cole tries to outwit Sho Shimoji
    Ashley Cole akitafuta mbinu za kumtoka Sho Shimoji

    RATIBA YA CHELSEA MECHI ZA KUJIANDAA NA MSIMU

    Julai 17 na Singha All-Stars (Uwanja wa Rajamangala, Bangkok - Kombe la miaka ya 80 ya Singha) wameshinda 1-0
    Julai 21 na Malaysia XI (Kuala Lumpur - Kombe la BNI 2013) Saa 8.45 mchana
    Julai 25 na BNI Indonesia All-Stars (Uwanja wa Taifa wa Gelora Bung Karno, Jakarta) Saa 8 mchana
    Agosti 2 na Inter Milan (Uwanja wa Lucas Oil, Indianapolis - Kombe la Mabingwa wa KImataifa wa Guinness) saa 7mchana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: JOSE MOURINHO AANZA VYEMA CHELSEA, AWAFUMUA WABABE WA MAN UNITED 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top