• HABARI MPYA

    Friday, August 16, 2013

    WAKATI LIGI KUU ENGLAND YAREJEA, HIZI NDIZO MBIVU NA MBICHI KWA TIMU ZOTE

    IMEWEKWA AGOSTI 16, 2013 SAA 11:00 ALFAJIRI
    LIGI Kuu England imerudi baada ya kipindi kirefu cha kiangazi, mwisho wa wiki hii ndio inaanza rasmi katika moja ya msimu utakao kuwa wa kusisimua zaidi kwenye miaka ya karibuni, hii ni baada ya mabadiliko kwenye klabu za ligi kuu.
    Unapozungumzia mabadiliko hutakiwi kwenda mbali zaidi ya kwa mabingwa watetezi, Manchester United. Baada ya miaka 27 na mataji 38, Sir Alex Ferguson amestaafu kuifundisha timu hiyo. David Moyes ndiye mtu anayeziba nafasi yake, kocha huyo wa zamani wa Everton alichaguliwa na Fergie mwenyewe.
    Lakini swali ni je,  United wataendeleza ushindi chini Mscotland huyo? Wakati hii mustakabali wa Wayne Rooney bado haueleweki na timu hiyo imefanya vibaya kwenye mechi za matayarisho ya msimu mpya na huo siyo mwanzo mzuri kwa Moyes.
    NENDA CHINI KAGONGE USOME KUHUSU KILA KLABU YA LIGI KUU ENGLAND MSIMU HUU
    Big shoes: Manchester United's new boss David Moyes has replaced Sir Alex Ferguson after 27 years
    Viatu vikubwa: Kocha mpya wa Manchester United, David Moyes amerithi mikoba ya Sir Alex Ferguson baada ya miaka 27
    The return: Jose Mourinho is back in charge at Chelsea
    Amerudi: Jose Mourinho amerejea kazini Chelsea

    Upande wa pili wa mji, Manchester City kuna mabadiliko pia, Roberto Mancini ametimuliwa na nafasi yake kuchukuliwa na Manuel Pellegrini.
    Kikosi tayari kinamabadiliko, City wamefanya usajili wa pauni milioni 90 kwa kuleta vipaji kama Fernandinho, Alvaro Negredo, Stevan Jovetic na Jesus Navas. Presha inabaki kwa Pellegrini kurudisha taji la ‘Premier’ Etihad.
    Wapinzani wa miamba ya Manchester watakuwa Chelsea, ambao wamemrudisha 'Special One', Jose Mourinho. Kurudi kwa Mreno huyo kumewafanya Chelsea kupewa nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa msimu huu, kutokana na msaada wa mastaa wapya Andre Schurrle na Marco van Ginkel. Klabu bado inamuwania Rooney na saini yake itahamisha utawala kutoka Manchester hadi London.
    Vita ya kuwania nafasi ya nne itakuwa kali zaidi, baada ya Tottenham kutumia fedha nyingi kuishusha Arsenal kwenye nafasi hiyo, lakini je, ujio wa Paulinho, Nacir Chadli na Roberto Soldado utaziba pengo la Gareth Bale kama akiondoka?
    Mashabiki wa Arsenal kama kawaida yao wamekuwa na mawazo kwenye dirisha la usajili. Wamemsajili Yaya Sanogo pekee, tena bure kutoka Auxerre, licha ya kuhusishwa kuwania saini ya staa wa Liverpool, Luis Suarez.
    Big spenders: Manchester City have spent £90m, and installed Manuel Pellegrini at the helm, to try and recapture their Premier League title
    Vimwaga: Manchester City imetumia Pauni Milioni 90, na kumuajiri Manuel Pellegrini kujaribu kurejesha taji lao la Ligi Kuu
    Ricky Van Wolfswinkel
    Gary Medel

    Uwekezaji: Norwich imetumia vizuri, imemsajili Ricky van Wolfswinkel (kushoto), wakati Cardiff City imevunja rekodi yake ya usajili mara tatu katika jaribio la kubakia Ligi Kuu kwa kumsajili - Gary Medel (kushoto) aliyewagharimu Pauni Milioni 11

    Kwa upande wa Suarez, hakuna mtu pale Anfield anayejua kama anabaki au anaondoka, zaidi yake mwenyewe.
    Uwekezaji uliofanywa na Norwich City unawafanya kuwa miongoni mwa timu zinazoweza kumaliza katika 10 bora, wakati Aston Villa na Sunderland wamefanya mabadiliko kibao na watapanda zaidi ya msimu uliopita.
    Swansea wanatarajiwa kupanda zaidi ya msimu ujao na kujizatiti zaidi kwenye michuano ya Ulaya.
    Wageni Cardiff City wameshathibitisha kwamba wamepania kufanya makubwa kwa kuvunja rekodi yao ya usajili mara tatum wakati Palace pia wamevunja benki kumsajili Dwight Gayle kutoka Peterborough. Steve Bruce amefanya usajili wa akili sana kuhakikisha Hull City wanabaki juu.
    Kwingineko kocha wa muda mrefu wa Stoke City, Tony Pulis aliachana na timu hiyo na nafasi yake kuchukuliwa na Mark Hughes na Roberto Martinez amemrithi Moyes, Everton. Newcastle United hatimaye wamamnasa Loic Remy baada ya kuwa kimya kwenye wakati wa kiangazi.
    Nini kitatokea? Hakuna anayejua, lakini tunasubiri kwa hamu kuona.

    NAFASI YA KILA KLABU KATI YA ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU MSIMU HUU

    ZINAZOONGOZA MBIO UBINGWA...
    9/4 Chelsea
    9/4 Man City
    5/2 Man Untied
    10/1 Arsenal
    16/1 Liverpool
    40/1 Tottenham
    500/1 Everton
    1250/1 Newcastle
    2000/1 West Brom
    2000/1 West Ham
    2000/1 Aston Villa
    2000/1 Southampton
    2500/1 Swansea
    2500/1 Fulham
    3000/1 Stoke
    3000/1 Sunderland
    5000/1 Cardiff
    5000/1 Norwich
    7500 /1Hull
    10000/1 Crystal Palace
    ZINAZOONGOZA KUSHUKA LIGI KUU
    4/7 Crystal Palace
    8/13 Hull
    13/8 Cardiff
    11/4 Stoke
    11/4 Norwich
    9/2 Sunderland
    5/1 Fulham
    15/2 West Brom
    8/1 Newcastle
    8/1 Swansea
    8/1 Aston Villa
    10/1 West Ham
    10/1 Southampton
    22/1 Everton
    250/1 Tottenham
    300/1 Liverpool
    750/1 Arsenal
    2500/1 Chelsea
    5000/1 Man United
    5000/1 Man City
    KUINGIA 'TOP FOUR'...
    1/10 Chelsea
    1/10 Man City
    1/10 Man United
    8/13 Arsenal
    13/8 Liverpool
    15/8 Tottenham
    22/1 Everton
    50/1 Newcastle
    125/1 West Ham
    125/1 Swansea
    125/1 Southampton
    150/1 West Brom
    150/1 Aston Villa
    150/1 Fulham
    200/1 Stoke
    200/1 Sunderland
    300/1 Hull
    300/1 Norwich
    300/1 Cardiff
    500/1 Crystal Palace
    KUISHIA 'TOP SIX'...
    1/250 Chelsea
    1/250 Man City
    1/250 Man United
    1/33 Arsenal
    2/9 Arsenal
    2/9 Liverpool
    4/1 Everton
    14/1 Southampton
    14/1 Newcastle
    16/1 Swansea
    20/1 West Brom
    20/1 Aston Villa
    20/1 West Ham
    25/1 Sunderland
    25/1 Fulham
    28/1 Norwich
    33/1 Stoke
    50/1 Cardiff
    100/1 Hull
    200/1 Crystal Palace
    KUBAKI LIGI KUU...
    1/33 Newcastle
    1/20 West Ham
    1/16 Aston Villa
    1/16 Southampton
    1/12 Swansea
    1/10 West Brom
    1/10 Fulham
    1/8 Sunderland
    1/5 Stoke
    2/7 Norwich
    4/9 Cardiff
    6/5 Hull
    5/4 Crystal Palace
    KUMALIZA MKIANI...
    9/4 Crystal Place
    7/2 Hull
    6/1 Cardiff
    9/1 Norwich
    10/1 Stoke
    11/1 Sunderland
    20/1 Fulham
    20/1 Swansea
    20/1 West Brom
    22/1 Southampton
    25/1 Aston Villa
    40/1 West Ham
    50/1 Newcastle
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: WAKATI LIGI KUU ENGLAND YAREJEA, HIZI NDIZO MBIVU NA MBICHI KWA TIMU ZOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top