• HABARI MPYA

    Monday, September 09, 2013

    HUU NDIO UJIO WA AZAM TV, 'FUNIKA BOVU'

    IMEWEKWA SEPTEMBA 9, 2013 SAA 9:42 ALASIRIMtaalamu kutoka Afrika, Martin Botha akitoa mafunzo kwa crew ya Azam TV katika ofisi kuu za kampuni hiyo, eneo la Tabata Reli, Dar es Salaam.
    Sehemu ya vifaa studio


    Madishi...

    Mtaalamu kutoka Marekani akitoa mafunzo kwa Jaffar Iddi kwa Crew la Azam TV

    Botha akitoa mafunzo kwa Crew

    Kijana wa Crew akipata mafunzo ya utumiaji wa vifaa vya kisasa

    Kijana wa Crew mafunzoni katika kifaa cha kisasa kabisa

    Kama CNN, au...

    Mmoja wa Wakurugenzi wa Azam TV, Alhaj Yussuf Bakhresa (kulia) akiwa na Wataalamu kutoka Uingereza

    Gari kubwa la kurushia matangazo ya moja kwa moja

    Mtambo huo..

    Gari la kurushia matangazo ya Live

    Wataalamu kutoka nchi mbalimbali wakiwa kazini ofisi za Azam TV Tabata Reli

    Mtaalamu kutoka Uingereza akiwa kazini

    Hii maana yake Uwanja wa Taifa wapiga picha za kawaida watakuwa hawasumbuliwi- kinyonga huyu atakuwa anachukua vitu juu kwa juu..hakuna kukimbia na Kamera...

    Gari dogo la matangazo ya Live

    Uani

    Barazani

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: HUU NDIO UJIO WA AZAM TV, 'FUNIKA BOVU' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top