![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Abdulhalim Humud 'Gaucho' akienda chini baada ya kuchezewa rafu na beki wa JKT Ruvu, Amos Mgisa |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Betram Mombeki akibusu kiatu cha kiungo Ramadhani Singano 'Messi' baada ya kufunga bao la pili |
![]() |
| Abdulhalim Humud akimtoka Salum Machaku kabla ya kupiga krosi iliyozaa bao la pili |
![]() |
| Haroun Chanongo akipambana na beki wa JKT Ruvu |
![]() |
| Amos Mgisa akituliza mpira gambani mbele ya beki wa Simba SC, Adeyoum Seif |
![]() |
| Gilbert Kaze wa Simba SC kushoto akigombea mpira na Bakari Kondo wa JKT Ruvu |
![]() |
| Haruna Shamte wa Simba SC akipambana na mchezaji wa JKT Ruvu |
![]() |
| Bakari Kondo akimtoka Gilbert Kaze wa Simba SC |
![]() |
| Alhaj Zege wa JKT Ruvu akipambana na Adeyoum Seif wa Simba SC kulia |
![]() |
| Omar Mtaki wa JKT Ruvu anayecheza kwa mkopo kutoka Azam, akimdhibiti Betram Mombeki |
![]() |
| Abdulhalim Humud 'Gaucho' akimuacha chini Salum Machaku |
![]() |
| Amri Kiemba akimtoka Salum Machaku |
![]() |
| Amri Kiemba akimuacha chini Nashon Naftali wa JKT Ruvu |
![]() |
| Omar Mtaki alimdhibiti vizuri Amisi Tambwe akaambulia kufunga bao moja tu kwa penalti |
![]() |
| Mtaisoma SImba 2013; Mashabiki wa Simba SC kwa raha zao |
![]() |
| Haloo, Simba SC mwaka huu inatisha; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kushoto akizungumza na simu huku akifuatilia mchezo |



















.png)