KIPA WA RUVU SHOOTING NA 'KATA K' YA 'UTAJIJU' DHIDI YA YANGA JANA TAIFA
IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 6:00 MCHANA Kipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akiwa amevaa bukta yake staili ya Kata K katika mechi ya jana ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kipa huyo chipukizi alidaka vizuri na kutunguliwa mara moja tu, timu yake ikilala 1-0 mbele ya mabingwa hao wa Ligi Kuu.
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...