![]() |
| David Luhende akimtoka beki wa Prisons |
![]() |
| Ilikuwa shughuli pevu Sokoine leo |
![]() |
| Said Bahanuzi akituliza mpira gambani mbele ya wachezaji wa Prisons, huku Simon Msuva akigaagaa chini |
![]() |
| Didier Kavumbangu akimtoka beki wa Prisons |
![]() |
| Jerry Tegete akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Prisons |
![]() |
| Kipa wa Prisons akiwa juu kudaka mpira |
![]() |
| Beki wa Prisons akimkwatua Mbuyu Twite wa Yanga SC |
![]() |
| Beki wa Prisons akiosha mpira pembeni ya Jerry Tegete |
![]() |
| Simon Msuva akipenyeza shuti katikati ya wachezaji wa Prisons |
![]() |
| Beki wa Prisons wakienda hewani kupiga mpira kichwa dhidi ya Haruna Niyonzima wa Yanga SC |
![]() |
| Kikosi cha Yanga SC leo |
![]() |
| Kikosi cha Prisons leo |
![]() |
| Askari Polisi na Magereza wakishirikiana kulinda basi la Yanga lisishambuliwe kama Jumamosi kwenye mchezo na Mbeya City |
















.png)