![]() |
| Wanenguaji wakiburudisha |
![]() |
| Mnenguaji wa bendi ya Mashujaa, Suzan akitumbuiza katika jukwaa la Twanga Pepeta jana |
![]() |
| Mnenguaji wa Mashujaa akimkatia mauno shabiki wa Twanga jana |
![]() |
| Vijana wa shoo Twanga Pepeta |
![]() |
| Hawatuwezi; Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka kushoto akinong'ona na mdogo wake, Omar Baraka jana Mango |
![]() |
| Shabiki huyu alisogea karibu na jukwaa na kulala kama unavyomuona ili kupata burudani vizuri |
![]() |
| Huyu muziki mzuri wa Twanga ulimpa usingizi mnono |
![]() |
| JB na Baba Hajji wa Bongo Movie |
![]() |
| Watu wakicheza Twanga kwa raha zao |
![]() |
| Asha Baraka akiwa na shoga yake Asha Kigundula. Kulia ni mume wa Asha K. Kigundula |













.png)