![]() |
| Stefano Mwasyika wa Ruvu Shooting akimdhibiti Mrisho Ngassa |
![]() |
| Wachezaji wa Yanga na Ruvu wakigombea mpira |
![]() |
| Hamisi Kiiza akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na Stefano Mwasyika |
![]() |
| Beki wa Ruvu Shooting George Michael akimpiga ngumi mshambuliaji wa Yanga SC, Hamisi Kiiza |
![]() |
| Kazi kweli kweli...kama siyo soka vile |
![]() |
| Krosi ya bao; Mrisho Ngassa akipga krosi iliyounganishwa na Hamisi Kiiza kwa tik tak kuipatia Yanga SC bao pekee la ushindi |
![]() |
| Simon Msuva akiwakimbiza mabeki wa Ruvu Shooting |
![]() |
| Haruna Niyonzima akimtoka kiungo wa Ruvu |
![]() |
| Hamisi Kiiza alikaribia kufunga kipindi cha kwanza kabla ya kufunga bao pekee kipindi cha pili |
![]() |
| Didier Kavumbangu akimuacha chini beki wa Ruvu |
![]() |
| Shaaban Suzan wa Ruvu Shooting akikabiliana na mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu |
![]() |
| Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan akipanda kusaidia mashambulizi |
![]() |
| Ayoub Kitala akipambana na Mrisho Ngassa, huku Cossmas Lewis akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
| Stefano Mwasyika akimuacha chini Simon Msuva |
![]() |
| 11 walioanza Yanga SC leo |
![]() |
| 11 wa Ruvu Shooting walioanza leo |
![]() |
| Beki wa Ruvu akimuweka chini mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu |




















.png)