![]() |
| Hussein Swedi wa Ashanti United akipasua katikati ya mabeki wa Prisons |
![]() |
| Beki Salum Mashaka wa Prisons akipambana na Joseph Mahundi wa Ashanti |
![]() |
| Joseph Mahundi wa Ashanti akitaabika katikati ya wachezaji wa Prisons |
![]() |
| Beki wa Prisons akiosha dhidi ya Joseph Mahundi wa Ashanti |
![]() |
| Jaffar Gonga wa Ashanti akimtoka beki wa Prisons |
![]() |
| Paul Maona wa Ashanti akipiga hewa baada ya beki wa Prisons kumuwahi kuokoa mpira |
![]() |
| Kocha wa Prisons, Jumanne Challe akizungumza na wachezaji wake |
![]() |
| Mshambuliaji wa Ashanti, Said Maulid 'SMG' kulia leo alikuwa jukwaania kabisa |
![]() |
| Mashabiki wa Ashanti |
![]() |
| Kocha Msaidizi wa Ashanti, Kali Ongala akifuatilia mechi hiyo |
![]() |
| Kikosi cha Ashanti United leo |
![]() |
| Kikosi cha Prisons leo |















.png)
0 comments:
Post a Comment