EZEKIEL KAMWAGA 'MR. LIVERPOOL', WA SIMBA SC APATA JIKO, ANASA KWA BINTI WA KITANGA
Ofisa Habari wa klabu ya Simba SC, Ezekiel Kamwaga 'Mr. Liverpool' akimpiga busu mkewe, Ummy Kurthum Mussa mwenyeji wa Tanga, baada ya kufunga naye pingu za maisha, mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Landmark, Ubungo, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment